Lyrics

kuoshwa kwa damu lyrics


Kuoshwa kwa damu
Itutakazayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

(Alexis on the beat)

Wamwendea Yesu kwa kusafiwa
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo
Cha neema yake umemwagiwa
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

Kuoshwa kwa damu
Itutakazayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

Kwa mwatema daima mkombozi
Nakuoshwa kwa damu ya kondoo
Yako kwa msulubiwa makazi
Umeoshwa kwa damu ya kondooo

Kuoshwa kwa damu
Itutakazayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

Atakapo kuja bwana harusi
Uwe safi kwa damu ya kondoo
Yafae kwenda mbinguni mavazi
Yafuliwe kwa damu ya kondoo

Kuoshwa kwa damu
Itutakazayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

Yatupwe yaliyo na takataka
Na uoshwe kwa damu ya kondoo
Huoni kijito cha tiririka
Na uoshwe kwa damu ya kondoo

Kuoshwa kwa damu
Itutakazayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

Kuoshwa kwa damu
Itutakazayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo

READ ALSO :  9 to 5 Lyrics

Leave a Reply

Back to top button