Lyrics

Nachotaka lyrics by Emma Omonge

Nachotaka lyrics by Emma Omonge


Nachotaka niwe,ni wewe tu,
Nachotaka niwe,ni wewe tu,
Haja ya moyo wangu,Yesu uu,
Haja ya moyo wangu, Yesu uu

1.Kama ayala atafutavyo maji,
Zaidi ya udongo mkavu,uonavyo kiu kwa tone la maji,
Ilivyo nafsi yangu,isipo sema nawe,
Ulivyo moyo wangu, nisiposhiriki nawewe
Kama samakiiiii,nje ya bahari,
Sina uhaiiiii, nje ya hema yako,
Nataka nizame,nizame,nizame kwa pendo lako kuu
Nataka nizame, nizame,nizame kwa pendo lako kuu
Nakuhitaji eeeeeeie eeeh,ooooh
Nakuhitaji eeeeeh,eeeeeeeeeeeh,eeeeeeeh….

2.Nataka nikujue zaidi ya fahamu zangu,
Naona nikuinue,zaidi ya hitaji langu,
Niloweshe kwa roho nikujue,
Sura yako ung’ae usoni mwangu,
Nataka nikutumikie, kwa nguvu, mpya
Kisichowezekana, niwezesheee
Napopungukiwa,nineemeshe
Nakuhitaji Yesu,ooooouohh

READ ALSO :  This Land is Your Land lyrics

Leave a Reply

Back to top button