Lyrics

Tazama Ramani lyrics

Tazama Ramani (To See the Map That Guides You)

Song by Voice of Maasai

Tazama Ramani 7:17
Tazama ramani za nchi na nchi vile jinsi zinavyopendeza
Kuna milima mirefu kuna mabonde na mito zenye chemichemi za uhai
Mimea, wanyama, viumbe mbalimbali sifa wanamtukuza Mungu
Tazama Serengeti wewe, Ngorongoro na Manyara
Mikumi usisahau utaona wanyama
Utamuona tembo, twiga pia naye simba
Ndege wa angani , samaki wa bahari
Usimsahau sokwe wewe
Mlima Kilimanjaro ndani yake utaona mimiea
Chemichemi za maji ya uhai zinatiririka
Usijisahau nawe
Vyote hivi vyote ni uumbaji wa Mungu
Ni uumbaji wa Mungu
Kweli tazama ramani uone
Nasema tazama ramani…
Tuenende ulimwengu wa roho
Tutazame ramani ya mbinguni
Kuna makao mazuri yaliyoandaliwa kwaajili yetu
Sisi wanadamu he he he he he he
Jitahidi ndugu, jitahidi baba, jitahidi mama
Ufike mwenyewe mbinguni ujionee
Tuenende ulimwengu wa roho
Tuenende ulimwengu wa roho
Tutazame ramani ya huko mbinguni
Kuna mji mzuri huko
Umepambwa vizuri Yerusalem
Umeandaliwa kwaajili ya wenye hadhi
Si kwa wale wenye dhambi
Bali matendo yako yakiwa safi utaishi na Yesu pamoja
Kwenye nchi ya asali na matunda
Maziwa yasiyo chachuka
Ndipo walipo watakatifu
Wewe usipende kusimuliwa wala usipende kuhadithiwa
Jamani kuna raha kuna makao mazuri yanayopendeza
Jitahidi baba, mama eh mbinguni ufike ujionee
Wewe usipende kusimuliwa wala usipende kuhadithiwa
Jamani kuna raha kuna makao mazuri yanayopendeza
Jitahidi ndugu yangu ufike ujionee
Mimi sipati picha
Mimi sipati picha
Mimi sipati picha
Raha iliyoko huko mbinguni mimi sipati picha
Jinsi kulivyo andaliwa mimi sipati picha
Sipendi mkosekane Wanyiramba sipendi mkosekane
Sipendi mkosekane Wanyakyusa sipendi mkosekane
Sipendi mkosekane Wamasai sipendi mkosekane
Jitahidi sana kutenda mema ufike ujione

READ ALSO :  Unholy Lyrics

English
To See The Map That Guides You
Look at the map and see how beautiful the lands are
There are high mountains, valleys and rivers with life giving springs
Plants, animals, may creatures that all praise God
Look at Serengeti, Ngorongoro and Manyara
Without forgetting the animals of Mikumi
You will see elephants, giraffes and also lions
Birds in the sky and fish in the ocean
Don’t forget the chimpanzee
Mount Kilimanjaro with its vegetation
Springs with life giving water are flowing
Don’t forget yourself
All of this is God’s creation
It is God’s creation
Just look at the map
I say look at the map…
Now let us go the spiritual world
Let us look at the map of heaven
There are beautiful sanctuaries prepared for us
Us humans he he he he he
Try hard brother, try hard father, try hard mother
To get to heaven and see for yourself
Let us go to the spiritual world
Let us go to the spiritual world
Let us look at the map of heaven
There is a beautiful city
Well decorated Jerusalem
It is prepared for those who deserve it
Not for the sinners
But if your deeds are good you will live together with Jesus
In the land of honey and fruits
Flowing with milk
That is where the holy are
Don’t let people tell you about the place
There is a beautiful place
Try hard father, mother eh to get to heaven and see for yourself
Don’t let people tell you about the place
There is a beautiful place
Try hard brother to see for yourself
I cannot imagine
I cannot imagine
I cannot imagine
I cannot imagine how much fun it will be
The way it is prepared I cannot imagine
I don’t wish for the Nyirambas not to be there
I don’t wish for the Nyakyusa not be there
I don’t wish for the Maasai not be there
Do your best to do good so that you can see for yourself

Leave a Reply

Back to top button