Lyrics

Nitasema Lyrics By Jay Melody

Read Nitasema Lyrics By Jay Melody Below:

Si unitoke hata mara moja

Akilini mwangu ooh mara moja 

Ninayopitia ni kama umeniroga

Haya mapenzi yamenipa gonjwa 

Japo sijawahi kukwambia jinsi ninavyokuota

Nakuzimia moyo umeuokota 

Hii dunia nimempenda mmoja hizi

Hisia nitakwambia how I feel 

Para rara raaah how I feel 

Para rara raaah nitasema mi 

Para rara raaah how I feel 

Para rara raaah nitasema mi

Oooh na vitu vyako vinachanganya 

Oooh unigusapo kwisha mwenzio 

Oooh your magnet ooh unanivuta hapo 

Ooh utanitoa roho jamani

Unanikoshs unaniwasha 

Unalia Paah moyo wangu 

Unanikosha unaniwasha 

Unalia Paah moyo wangu

Japo sijawahi kukwambia jinsi ninavyokuota

Nakuzimia moyo umeuokota 

Hii dunia nimempenda mmoja hizi

Hisia nitakwambia how I feel 

Para rara raaah how I feel 

Para rara raaah nitasema mi 

Para rara raaah how I feel 

Para rara raaah nitasema mi

Unanikoshs unaniwasha 

Unalia Paah moyo wangu 

Unanikosha unaniwasha 

Unalia Paah moyo wangu

READ ALSO :  Begone Unbelief lyrics indelible Grace

Leave a Reply

Back to top button