Lyrics

timbulo ft baraka da prince lyrics

Wakati nalainisha moyo kupenda sio kama ninakosea Ipo sababu ya mimi kurejesha namba ambayo ilipotea Hqali ya mtoto kumsusa mama akishachapwa Ni sawa na mapenzi Ukishapendwa Unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi Nakumbuka nilijuta sana kupenda kupenda kusikokua na thamani Ila hitaji la moyo lalazimisha kurudia zamani

Wakati nalainisha moyo kupenda sio kama ninakosea

Ipo sababu ya mimi kurejesha namba ambayo ilipotea

Hqali ya mtoto kumsusa mama akishachapwa

Ni sawa na mapenzi

Ukishapendwa

Unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi

Nakumbuka nilijuta sana kupenda kupenda kusikokua na thamani

Ila hitaji la moyo lalazimisha kurudia zamani

()

Mimi bado nina imani

Ipo siku utanipa thamani

Mimi bado nina imani

Jua me siachani nawe

Na sishindani nawe

Maana upo moyoni ndani

Acha nisote mie

Ila me siachani nawe

Na sishindani nawe

Maana upo moyoni ndani

Wacha nisote mie

Labda juu ya kaburi utanipenda mimi nikiwa sina uhai

Hisia zangu haziheshimiwi najidharau sifai

Heri ya upofu wa macho

Kwa yale nayoyaona

Umeruhusu mboni zangu me kumwaga machozi

Yaani ungejua hisia za mapenzi

Kutesa moyo ila bado hazichoshi

Kupendwa sipendwi najua wazi ila bado silingi

Maana kesho nitaurubuni moyo

Unapendwa na unapenda me meno ila najiona kibogoyo

READ ALSO :  The World Is Yours lyrics

Kweli penzi donda moyo

()

Mimi bado nina imani

Ipo siku utanipa thamani

Mimi bado nina imani

Jua me siachani nawe

Na sishindani nawe

Maana upo moyoni ndani

Acha nisote mie

Ila me siachani nawe

Na sishindani nawe

Maana upo moyoni ndani

Wacha nisote mie

Leave a Reply

Back to top button