Lyrics

wewe ni zaidi lyrics by Erick Smith

wewe ni zaidi lyrics

Wewe Ni Zaidi

Song by Erick Smith

Ninashangaa nikielewa
Wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia
Sauti zote ninazosikia
Ninashangaa nikielewa
Wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia
Sauti zote ninazosikia

Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo
Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Nimejipata ndani ya upendo wako
Umekuwa kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha
Nikiwa nawe, mimi niko huru
Nimejipata ndani ya upendo wako
Umekuwa kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha
Nikiwa nawe, mimi niko huru

Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upenda
Yale unasema Babayote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo
Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upenda
Yale unasema Babayote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Wewe ni Mungu Mkuu
Mfalme wa wafalme
Muumba mbingu na nchi
Heshima zote ni zako bwana
Hakuna kama wewe

Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upenda
Yale unasema Babayote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo
Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upenda
Yale unasema Babayote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

READ ALSO :  let go lyrics by Central cee

Leave a Reply

Back to top button