Lyrics

mbele ninaendelea lyrics Niinue by Sara K

Niinue

Song by Sara K.

1
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
Nipande milima yote ee bwana unipandshe2

2.
Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba

Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni nitafika kwa imani

3
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

3
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

READ ALSO :  Mahaba Lyrics By Ali Kiba

Leave a Reply

Back to top button